Siasa
MTOTO
wa kaka wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Uratibu na
Bunge, Willium Lukuvi, aitwaye Tomm Malenga, ambaye ni katibu wake,
amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake baada ya kukamatwa kwa
tuhuma za kuhusishwa na...
Read More »
Mkutano wa Baraza la Uongozi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema) Kanda ya Kaskazini juzi uligeuka ukumbi wa ngumi, baada ya
Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba kushushiwa
kipigo.Mwigamba alishushiwa kipigo hicho na baadhi...
Read More »
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya Kaskazini,
kimemsimamisha Uongozi Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha Samson
Mwigamba kwa madai ya kukihujumu chama hicho. Taarifa ambazo
tumezipata kutoka ndani ya kikao cha Baraza la uongozi...
Read More »
Spika
wa Bunge, Anne Makinda amesema mishahara ya wabunge wa Tanzania siyo
mikubwa kulinganisha na wanayolipwa wabunge wa mabunge mengine duniani.
Makinda alitoa kauli hiyo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari
waliotaka ufafanuzi kuhusu kauli yake juu ya...
Read More »
MWENYEKITI
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, Mbunge
wa Sengerema (CCM), William Ngeleja na Mfanyabiashara maarufu, Rostam
Aziz, wamehojiwa kuhusu kuwa na utajiri mkubwa nje ya nchi. Wanasiasa
hao wamehojiwa na kikosi kazi maalumu kilichoundwa na...
Read More »
MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila
(60), amejikuta kwenye kashfa nzito ya kufunga ndoa na kijana, kinda wa
miaka 26, Michael Christian. Ndoa hiyo ambayo ilifungwa katika Kanisa
la Tanzania Assembles of God...
Read More »
HATUA
ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kutaja hadharani mshahara wa
Rais na Waziri Mkuu, imechukua sura mpya baada ya Chama cha Wafanyakazi
wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) kulaani hatua hiyo na kuomba Spika Anne
Makinda kuchukua...
Read More »
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)
Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9
vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa
Msajili. Baadhi...
Read More »
MKUTANO
kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni
umemalizika Ikulu, Dar Es Salaam, muda mfupi uliopita leo, Jumanne,
Oktoba 15, 2013 kwa pande hizo...
Read More »
RAIS Jakaya Kikwete jana mchana alikutana na viongozi wa vyama vya
siasa vyenye uwakilishi bungeni, kujadili maendeleo ya mchakato wa
Katiba mpya nchini na kufikia makubaliano. Katika mkutano huo, viongozi
hao kwa pamoja, wameazimia vyama vyote vya siasa...
Read More »
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto
Kabwe amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analipwa sh
milioni 384 kwa mwaka, sawa na sh milioni 32 kwa mwezi pasipo kukatwa
kodi. Hii...
Read More »
WATU
tisa akiwemo Diwani wa Kata ya Old Moshi Magharibi, Elisaria Mosha
(Chadema) wametiwa mbaroni wakituhumiwa kupokea fedha kwa njia ya
udanganyifu kupitia mradi wa umeme mkoani Kilimanjaro. Hatua hiyo
imechukuliwa baada ya Makamu wa Rais Dk Mohamed...
Read More »
*Asema hampangii Rais nani aonane naye *Mtikisiko mkubwa watarajiwa
bungeni Dodoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu),
Stephen Wasira, amesema hana mamlaka ya kumchangulia Rais nani akutane
naye. Alitoa kauli hiyo katika mahojiano na Rai...
Read More »
No comments:
Post a Comment