

Mashindano ya 62 ya urembo ya Miss Universe yanatarajiwa kufanyika leo usiku katika Ukumbi wa Crocus City, Krasnogorsk, Moscow nchini Urusi . Olivia Culpo, Miss Universe 2012 kutoka Marekani atamvisha taji mrithi wake atakayeshinda katika shindano hilo litakalowashindanisha warembo kutoka nchi 86. Mwaka huu, Tanzania inawakilishwa na mrembo Betty…


Mashindano ya 62 ya urembo ya Miss Universe yanatarajiwa kufanyika leo usiku katika Ukumbi wa Crocus City, Krasnogorsk, Moscow nchini Urusi . Olivia Culpo, Miss Universe 2012 kutoka Marekani atamvisha taji mrithi wake atakayeshinda katika shindano hilo litakalowashindanisha warembo kutoka nchi 86. Mwaka huu, Tanzania inawakilishwa na mrembo Betty Omara.
No comments:
Post a Comment