Mwana Mziki chipukizi Tel Omaino mkazi
wa Tunduru - Songea, Amerecord wimbo wake wa kwanza wa video unaoenda kwa jina la "BADO NIPO NAYE" amemshirikisha Mwanamziki Kauye wimbo huo unatarajiwa kutoka hivi karibu.
Video hiyo Imefanyika katika Studio za 29 Records na Producer Suly, na Video director ni Timmy San jijini Dar es Salaam. Hivyo anawaomba wadau wa mziki kumpa support kubwa mala tu atakapo zindua wimbo wake huo wa kwanza.
Alipoongea
na chanzo chetu alijaribu kueleza historia yake kwa ufupi, Tel Omaino
amesoma secondary Lutengano iliyopo jijini Mbeya na kwasasa
ni mwanafunzi wa chuo Mtwara. alianza kufanya muziki tangu akiwa
secondary, hii
ndio nyimbo yake ya kwanza kuifanyia
video. Hata hivyo hakua tayari kutaja umri wake.
Video hiyo Imefanyika katika Studio za 29 Records na Producer Suly, na Video director ni Timmy San jijini Dar es Salaam. Hivyo anawaomba wadau wa mziki kumpa support kubwa mala tu atakapo zindua wimbo wake huo wa kwanza.
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Tel Omaino (Kushoto) na Kauye (Kulia) katika baadhi ya kipande katika video hiyo
Tel Omaino (Kushoto) na Kauye (Kulia)
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Tel Omaino na Kauye wakipeana salam katika video hiyo
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Baadhi ya Vipande katika Video
Baadhi ya Vipande
Kauye aliyeshirikishwa katika video hii
Baadhi ya Vipande
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo
Baadhi ya Vipande
Kauye akiimba katika kipande chake