Siasa

MTOTO WA WAZIRI LUKUVI AJERUHIWA KWA TUHUMA ZA UJANGILI...

MTOTO wa kaka wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Uratibu na Bunge, Willium Lukuvi, aitwaye Tomm Malenga, ambaye ni katibu wake, amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuhusishwa na...
Read More »

MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA(SAMSON MWIGAMBA) ASHUSHIWA KIPIGO CHA MBWA MWIZI NA VIONGOZI WENZAKE KISHA KUSIMAMISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA...

Mkutano wa Baraza la Uongozi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini juzi uligeuka ukumbi wa ngumi, baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba kushushiwa kipigo.Mwigamba alishushiwa kipigo hicho na baadhi...
Read More »

CHADEMA wasalitiana na kufukuzana....Mbowe apigwa ngumi baada ya kudaiwa kuiba milioni 80 za chama , polisi waingilia kati huko Arusha

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kanda ya Kaskazini, kimemsimamisha Uongozi Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa  wa Arusha Samson Mwigamba kwa madai ya kukihujumu chama hicho.   Taarifa ambazo tumezipata kutoka ndani ya kikao cha Baraza la uongozi...
Read More »

Spika wa Bunge la Tanzania adai kuwa Mishahara ya wabunge ( Milioni 11 kwa mwezi ) ni midogo sana na ndo maana wanateseka wakistaafu

Spika wa Bunge, Anne Makinda amesema mishahara ya wabunge wa Tanzania siyo mikubwa kulinganisha na wanayolipwa wabunge wa mabunge mengine duniani. Makinda alitoa kauli hiyo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka ufafanuzi kuhusu kauli yake juu ya...
Read More »

KAZI YA KUYASAKA MAFISADI YAANZA.....MBOWE ADAIWA KUMILIKI JUMBA HUKO DUBAI,ROSTAM AZIZ NA WILLIAM NGELEJA WAHOJIWA PIA

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja na Mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz, wamehojiwa kuhusu kuwa na utajiri mkubwa nje ya nchi. Wanasiasa hao wamehojiwa na kikosi kazi maalumu kilichoundwa na...
Read More »

MBUNGE WA CCM MWENYE MIAKA 60 AJIKUTA KWENYE KASHFA NZITO BAADA YA KUOLEWA NA KIJANA WA MIAKA 26....

MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60), amejikuta kwenye kashfa nzito ya kufunga ndoa na kijana, kinda wa miaka 26, Michael Christian. Ndoa hiyo ambayo ilifungwa katika Kanisa la Tanzania Assembles of God...
Read More »

Hatimaye Chama cha wafanyakazi wa Serikali Chatangaza nia KUMSHITAKI Zitto Kabwe kwa kuuanika mshahara wa Rais hadharani..!!

HATUA ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kutaja hadharani mshahara wa Rais na Waziri Mkuu, imechukua sura mpya baada ya Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) kulaani hatua hiyo na kuomba Spika Anne Makinda kuchukua...
Read More »

SIKILIZA AUDIO YA Zitto Kabwe adai kwamba yupo tayari CHADEMA na CCM wamnyonge lakini Ruzuku hawatapata mpaka wakaguliwe...ENJOY

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9 vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa Msajili. Baadhi...
Read More »

Video ya Rais Kikwete alipokuwa akiongea na viongozi wa vyama vya Upinzani Ikulu Jana

MKUTANO kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa vyenye uwakilishi Bungeni umemalizika Ikulu, Dar Es Salaam, muda mfupi uliopita leo, Jumanne, Oktoba 15, 2013 kwa pande hizo...
Read More »

MAAZIMIO yaliyofikiwa hapo Jana kati ya Rais Kikwete na Wapinzani haya hapa...soma hapa

RAIS Jakaya Kikwete jana mchana alikutana na viongozi wa vyama vya siasa vyenye uwakilishi bungeni, kujadili maendeleo ya mchakato wa Katiba mpya nchini na kufikia makubaliano. Katika mkutano huo, viongozi hao kwa pamoja, wameazimia vyama vyote vya siasa...
Read More »

ZITTO KABWE ATOBA SIRI.... ATAJA MSHAHARA WA RAIS KIKWETE KUWA NI MILIONI 32 KWA MWEZI BILA KODI....SOMA ZAIDI HAPA

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analipwa sh milioni 384 kwa mwaka, sawa na sh milioni 32 kwa mwezi pasipo kukatwa kodi. Hii...
Read More »

Diwani wa CHADEMA atiwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa milioni 10 Huko Mkoani Kilimanjaro...!! SOMA ZAIDI HAPA

WATU tisa akiwemo Diwani wa Kata ya Old Moshi Magharibi, Elisaria Mosha (Chadema) wametiwa mbaroni wakituhumiwa kupokea fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mradi wa umeme mkoani Kilimanjaro.   Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Makamu wa Rais Dk Mohamed...
Read More »

STEPHEN WASIRA "SINA UFUNGUO WA IKULU, SIWEZI MCHAGULIA RAIS NANI WA KUONANA NAYE" ...SOMA ZAIDI

  *Asema hampangii Rais nani aonane naye *Mtikisiko mkubwa watarajiwa bungeni Dodoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema hana mamlaka ya kumchangulia Rais nani akutane naye. Alitoa kauli hiyo katika mahojiano na Rai...
Read More »

CHADEMA, CUF na NCCR Mageuzi wakubaliana kusitisha MAANDAMANO yao ya tarehe 10 mwezi huu...SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment