Sunday, April 12, 2015

Karibu upendeze nasi kwa nguo za kitenge na za asili. Kwa wanaume na wanawake, waweza pata vitu vya kitenge na shanga kama vile Saa, Pochi, Mkufu, Heleni, Shati, Viatu, Suruali, Gauni, Sketi na hata mabegi pia unaweza kuleta wazo lako tukakutengenezea ukitakacho


 Pochi, Gauni, Saa na Viatu vya Kitenge


 Shati na Saa vilivyotengenezwa kwa kitenge


 Pochi ya Kitenge







Gauni lililochanganywa kitenge na kitambaa


 Pochi za shanga




 Begi la mgogoni limewekwa kitenge na ngozi.

 Begi la kitenge

 Gauni la kitenge



 Gauni la kitenge



Karibu sana tunatengeneza vitu kwa bei nafuu sana na kwa muda muafaka.