Sunday, April 12, 2015

Karibu upendeze nasi kwa nguo za kitenge na za asili. Kwa wanaume na wanawake, waweza pata vitu vya kitenge na shanga kama vile Saa, Pochi, Mkufu, Heleni, Shati, Viatu, Suruali, Gauni, Sketi na hata mabegi pia unaweza kuleta wazo lako tukakutengenezea ukitakacho


 Pochi, Gauni, Saa na Viatu vya Kitenge


 Shati na Saa vilivyotengenezwa kwa kitenge


 Pochi ya Kitenge







Gauni lililochanganywa kitenge na kitambaa


 Pochi za shanga




 Begi la mgogoni limewekwa kitenge na ngozi.

 Begi la kitenge

 Gauni la kitenge



 Gauni la kitenge



Karibu sana tunatengeneza vitu kwa bei nafuu sana na kwa muda muafaka.

Wednesday, February 18, 2015

Jifunze kuvaa jifunze kutabasamu weka sura yako katika mwonekano mzuri wa kuvutia. Mavazi pia huvutia. Karibu Mayness Graphic & Fashion designerKaribu Mayness Graphic & Fashion Designer kwa nguo za kisasa na kila aina. Onekana tofauti na kiasili zaidi

 Ndani ya Sketi nyeupe mwonekano safi.
 Gauni Jeusi na Mkanda wa Kijani
 Sketi ya Kanga na kibode
 Gauni la kitambaa


 Gauni la kitange na kitambaa
 Kitenge na Kitambaa
 Pochi ya Kitenge na ngozi
 Nguo ya kitenge vazi la kiafrica
Sketi ya Kitambaa Blue na nyekundu
 Pochi ya kanga na sketi ya kanga
 Gauni jeusi
 Sketi ya Kitenge Kiafrica
 Raba na kimini
 Raba na Suruali
 Pink na Nyeusi

 Njano na nyeusi

 Gauni blauzi


 Vazi la kiimasai


 Travota
Karibu utangaze nasi biashara yako na kukushauri katika maswala ya mavazi na mapambo kwa ujumla. Sambaza Upendo kwa pamoja tunaweza