Mwingizaji huyu mwenye umri wa miaka 38 alifariki ghafla kwenye kambi
ya kurekodi filamu na wasanii wenzake iliyopo katika Nyumba ya Kulala Wageni ya
Silvarado iliyopo Sinza ya Kwaremmy, Dar.Kifo
chake kilitokea
akiwa njiani kukimbizwa kwenye Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge jijini Dar es
Salaam baada ya kuugua.
Marehemu Adamu Enzi za uhai wake
Chanzo cha kifo chake
inasemekana ni vidonda vya tumbo ambao msanii wa Bongo Fleva, Aboubakar Katwila
‘Q-Chillah’ alisema muda mchache kabla ya kufikwa na mauti, Kuambiana
alimlalamikia maumivu ya tumbo ambapo Ijumaa iliyopita alisema hali yake si
nzuri kwani alikuwa akiendesha damu tupu.
Mwili wa Marehemu ukitolewa kuajili ya kupelekwa Leaders kuajili ya kuaga
Baadhi ya wasanii wakiomboleza
Wakijiandaa
kuupokea mwili wa marehem
Marehemu Adamu Enzi za uhai wake
Gari lililo beba mwili wa Marehemu
kuelekea nyumbani kwake Bunju
Waombolezaji wakilia kwa majonzi
Mwili wa Marehemu ukitolewa kuajili ya kupelekwa Leaders kuajili ya kuaga
Baadhi ya wasanii wakiomboleza
Wasanii wameubeba mwili wa Marehe
Mwili ukitolewa kwenye gari
Hivyo ndivyo Adam Philip alivyo
tutoka. Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaindi. Mwenyezi Mungu aiweke roho
ya marehemu mahara pema Amina.
No comments:
Post a Comment