Wednesday, June 4, 2014

Ukatili unazidi kuendelea: Mwanamke mmoja jina lake halijaweza kufahamika. Amediliki kumuua mtoto na kumtupa barabarani...

Mwanamke mmoja asiyefahamika jina wala sehemu anayoishi amefanya tendo la kinyama kwa kumuua mtoto mchanga mwenye jinsia ya kike kwa kumfunga plasta puani na mdomoni hali iliyompelekea mtoto huyo kushindwa kupumua na kupoteza maisha. Tukio hilo la kikatili limekutwa pembezoni mwa barabara ya Kawe Beach Jiji Dar es salaam


Wavuvi wa eneo hilo waliona mfuko pembeni ukiwa na damu hali iliyowashangaza wakaamua kuusogelea na kukuta kichanga hicho kimefungwa na plasta mdomoni na puani kikiwa kimeshafariki.


2 comments:

  1. Watu hawa kama ndo utawala wng wangehukumiwa bila ya kwenda mahakamani Mara Tu baada ya kubainika

    ReplyDelete