Monday, October 7, 2013

Maumivu ya Moyo yanaweza sababishwa na kitu chochote kinacho weza kukufanya upate maumivu.

Kunawakati mwingine unaitazama Dunia na kujiuliza maswali mengi sana hivi kwanini nipo Duniani lakini unakua umechelewa.

Rose ni binti anayeishi na wazazi wake katika Mkoa wa Iringa mji mdogo wa Mafinga Kinyanambo. Alikua ni binti anaye jituma na kazi mpole na mnyenyekevu. Siku 1 wakiwa na familia yake wakipata chakula cha jioni Rose alipokea simu yake ya mkononi alipata taarifa iliyoonyesha kumshitua kidogo. Aliweka simu taratibu chini kisha akasema mamaaa.... akadondoka na kupoteza faham wazazi wake walijitahidi kumwamsha lakini hakuamka na hawakujua kilicho mpata kwenye simu aliyo ipokea Baada ya dakika kadhaa Rose alipata fahamu alionekana kama mtu aliyetoka usingizini asijue kilicho tokea baada ya muda kidogo alikumbuka kilichotokea akaanza kulia. Je atasema kinacho mliza na nini alichosikia kwenye simu. Tutaendelea kesho ujue kisa cha hayo yote. Na Mayness Chapote

No comments:

Post a Comment