
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr. Emmanuel Nchimbi(kushoto) akiongoza mkutano wa baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na |Pembe ya Africa katika mapambano ya kuzuia uzagaaji wa silaha haramu jijini Dar-es-salaam leo.

Wajumbe wa baraza la Mawaziri wa Nchi za Maziwa Makuu na |Pembe ya Africa
No comments:
Post a Comment