Thursday, October 3, 2013

MAMBO YALIVYOKUA HAPO JANA

 KUTOKA MBEYA

Wafanya Biashara wakiwa wanajiandaa kusikiliza mkutano muda mchache uliopita na Ghafla vurugu kuzuka tena .... !

Polisi wakiwa wanasindikiza gari la matangazo ambalo lilikuwa likitangaza kuomba Vurugu hizo na maandamano yasiyo Rasmi yasimamishwe 
Ulinzi ukiwa unazidi kuongezeka kama inavyo onekana pichani Muda huu...

Taarifa za awali zinasema kwamba kuna mkutano wa Ghafla umeandaliwa hapo saa nane mchana ambapo wafanya biashara pamoja na wahusika kutoka Serikalini watakutana ili kujadili suala hilo la Mashine hizo

No comments:

Post a Comment