Friday, November 1, 2013

Soma hapa magazeti ya leo Ijumaa tarehe 1 November 2013


BONGO MUVI WAMSUSIA WEMA MSIBA

Na waandishi wetu

HUKU akiwa na majonzi ya kuondo-kewa na baba yake mzazi, Balozi Isaac Abraham Sepetu aliyefariki dunia Jumapili iliyopita kwa ugonjwa wa kisukari, baadhi ya wasanii wanaounda Klabu ya Bongo Movie (muvi) Unity wanadaiwa kumsusia msiba mwingizaji mwenzao, Wema Isaac Sepetu.…

BABU SEYA, PAPII KOCHA VICHEKO VYAANZA

Stori: Richard Bukos na Denis Mtima

MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa dansi, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ pamoja na ndugu zao, Jumatano iliyopita walitoka kwa vicheko katika Mahakama ya Rufaa Tanzania baada ya kuridhishwa na utetezi uliotolewa na…

ANAYEDAIWA KINARA WIZI WA ‘POWER WINDOW’ ANASWA

Stori: Jelard Lucas na Musa Mteja

MKAZI mmoja wa Sinza Lion jijini Dar, Link Mbaga (25) Jumanne iliyopita alinaswa maeneo ya Sinza Afrikasana na kuchezea kichapo kutoka kwa watu wenye hasira akidaiwa kutaka kuiba vifaa vya kwenye gari aina ya Toyota Harrier, Ijumaa limeinyaka.…

UFOO AAPA KIAPO CHA SIRI

Stori:Brighton Masalu na Chande Abdallah

SIKU chache baada ya Mtangazaji wa Runinga ya ITV, Ufoo Saro kuruhusiwa hospitalini alipokuwa amelazwa baada ya kudaiwa kupigwa risasi na mzazi mwenzake, marehemu Anther Mushi, ameibuka na kula kiapo cha siri.…

BABA: MARUFUKU MAMA KANUMBA KUTUMIA JINA LANGU

Na Gladness Mallya

Katika hali ya kushangaza, baba wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amempiga marufuku mama mzazi wa msanii huyo, Flora Mtegoa kutumia jina la Kanumba kwa namna yoyote.…

NUSU UTUPU YA LINAH YACHANGANYA MIDUME!

Na Shakoor Jongo

Mavazi ya nusu utupu ambayo msanii Esterlina Sanga ‘Linah’ hupenda kuyavaa hasa kwenye matamasha yamekuwa yakiwadatisha wanaume na wengine kuomba kupiga naye picha kwa lengo la ‘kujipoza’ kama ilivyotokea kwenye Fiesta, Dar hivi karibuni.…

NAMNA YA KUMVUTIA MWANAUME ALIYEUTEKA MOYO WAKO!-3

WANAWAKE wakiwapenda wanaume hubaki na mateso mioyoni mwao. Hii ni kwa sababu ni vigumu kumtokea  mwanaume moja kwa moja kumwaga sera kuwa unataka ‘akung’oe’.…

AAAH HEMED PHD, UNALAZIMISHA UNYAMWEZI?

Hemed Suleiman 'PHD'.
JINA lake halisi ni…

KUBEZWA, KUDHARAULIWA NA KUCHEKWA NI DARAJA LA MAFANIKIO-2

WIKI iliyopita utakumbuka nilianza kuzungumzia mada yenye kichwa cha habari kilichopo hapo juu. Ni mada iliyoonesha kuwagusa wengi.
Kwa simu na meseji nilizopokea, nimegundua wengi wanashindwa kufanikiwa kwa kukata tamaa kutokana na kuchekwa na kudharauliwa pale wanapoanza safari ya kuelekea kwenye…

POLISI MABATINI WAPEWA MSAADA WA GARI

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova akitoa shukrani kwa wadau mbalimbali waliofanikisha msaada wa gari kwa ajili ya Ulinzi Shirikishi.…

No comments:

Post a Comment